Waziri Mkuu wqa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salam.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salam, Januari 9, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments