Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni mbili Mchezaji Bora wa Mchezo wa Nusu Fainali Kombe la NMB Mapinduzi Cup Maxi Zengeli dhidi ya Timu ya Singida, mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0, lililofungwa na Maxi.



0 Comments