Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10
Januari, 2026. Pia katika mazungumzo hayo Mhe. Waziri Wang Yi aliwasilisha Salamu
Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje
wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10
Januari, 2026.


0 Comments