6/recent/ticker-posts

Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi Kituo cha Mabasi Mradi wa ZSSF Malindi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Jijini Zanzibar

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalumu za SMZ Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa akiwasili katika eneo la Kituo cha Mabasi Malindi kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ZSSF Zanzibar wa kituo hicho cha kisasa na (kushoto kwake) Mkurugenzi Muendesjaji ZSSF Nassor Shaban Ameir na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Mohammed Abdallah. 




















 

Post a Comment

0 Comments