6/recent/ticker-posts

Michuano ya Kombe la NMB Mapinduzi Cup 2026 Kati a Yanga na TRA Katika Mchezo Huo Yanga Imeshinda Bao 1-0

Mshamhuliaji wa Timu ya Yanga Pacome Zoazoua akiwapita mabeki wa Timu ya TRA wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la NMB Mapinduzi Cup 2026, mchezo uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibat, Katika mchezo huo Timu ya Yanga imeshinda bao 1-0.






 

Post a Comment

0 Comments