6/recent/ticker-posts

Ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dimani Wilaya ya Nagharibi "B" Unguja

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na Viongozi mbalimbali  alipowasili katika viwanja vya Maonesho Dimani kwa ajili ya Ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akitembelea maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika viwanja vya Dimani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja kabla ya kuyafungua, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akipata maelezo kutoka kwa Afisa Muandamizi wa Masoko na Mauzo ya PBZ Farhat Salim Amour, wakati akitembelea banda la maonesho la Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Dimani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja, wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho hayo yanayofanyika Dimani.











 




Post a Comment

0 Comments