Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalumu za SMZ Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja ya Mchezaji Bora wa NMB Mapinduzi Cup 2026 Duke Abuya , iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika mchezo wa Kombe la NMB Mapinduzi Cup 2026, dhidi ya Timu ya Yanga na TRA ,mchezo uliyofanyika katika uwaja wa New Amaan Complex Zanzibar.
Benki ya NBC Yang’ara Tuzo za Mwajiri Bora Programu ya Mafunzo kwa Vitendo
-
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo imepokea tuzo ya Mwajiri Bora katika
Programu ya Mafunzo kwa Vitendo (Internship Program) kutoka Ofisi ya Waziri
Mkuu ...
14 minutes ago



0 Comments