6/recent/ticker-posts

KOCHA STEWART HALL AWASILI




KOCHA Stewart Hall alipowasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Juilus Nyerere Dar.
Hall anaelekea Zanzibar kuchukua nafasi ya Ukocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar pamoja na kuwafundisha makocha wengine katika program ya kukuza Soka la visiwani. Photo credit: janejohn5.blogspot.com

Post a Comment

0 Comments