Kuna mdau anaulizi hivi huku Visiwani kuna aina za embe ngapi anachotaka jina la embe na wapi zinapatikana kwa wingi.
Mpaka sasa amepata listi hii
Embe Dodo
Embe Shomari
Embe Muyuni
Embe Boribo
Embe Sakua
Embe Mshindo
Embe Keche
Embe Pembeni
Ahsanteni Wadau na Tuiendeleze
Viongozi wa Dini Watoboa Siri: Ndoa za Utotoni Zazidi Kushamiri Vijijini
Licha ya Sheria
-
Dar es Salaam, Machi 28, 2026 — Viongozi wa dini nchini wameeleza wasiwasi
wao kuhusu kuendelea kwa ndoa za utotoni, wakibainisha kuwa changamoto ya
uelewa...
1 hour ago
5 Comments
embe sakua
ReplyDeleteembe mshindo
ReplyDeleteHii embe mshindo sijapata kuisikia sijui unapatikana wapi hii
ReplyDeleteembe keche
ReplyDeleteembe pembeni
Halafu borbo kuna borbo siagi, mwarugo, borbo kovu
Tunaomba picha zake tafathali maana tunayaona tu lakini hatujui majina yake
ReplyDelete