6/recent/ticker-posts

OFISI YA MAKAMO WA RAIS ZENJ

JENGO la Ofisi la Makamo wa Rais wa Tanzania lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, lilioko katika eneo la Tunguu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments