MGOMBEA Uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi jimbo la mji mkongwe Simai Mohammed Said akishangiriwa wakati akitowa sera zake kwa Wananchi wa Jimbo hilo ikiwa ni moja ya mikutano yake ya Kampeni jimboni.
WANACHAMA wa CCM Jimbo la Mji Mjkongwe wakimsikiliza mgombea Uwakilishi wa Jimbo hilo Simai Mohammed Said akitowa sera zake katika kiwanja cha Mapembeani Muembetanga.
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
1 Comments
Tumchague ndugu yetu Simai Mohammed Said..Kijana anaye tufaa na mwenye Mafanikio ya kutuongoza na anayetufaa Mji mkongwe..CCM OYYEE
ReplyDelete