6/recent/ticker-posts

KIKWETE AKISALIMIANA NA MAALIM SEIF KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA DK SHEIN

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mshindi wa pili  wa urais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad wakati wa sherehe za kumuapisha Rais mpya wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein mjini Zanzibar leo asubuhi
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimaina na mgombea Mwenza Dr.Mohamed Gharib Bilal katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar wakati wa sherehe za kumuapisha Rais mpya wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein leo asubuhi. Katikati ni Mshindi wa pili katika mbio za urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Maalim Seif Shariff Hamad.

Post a Comment

2 Comments

  1. mzee hongera tuwekee video mzee wengine tupo ughaibuni pls

    ReplyDelete