Washikaji wakiwa kijiweni eneo la Kwaalimsha wakifurahia amani na utulivu wakati wa kukushangilia ushindi wa CCM. Wakiwa na Mzee mzima Hemedi Mapongonyongo (Bro). akitabasamu kwa amani.
STAMICO YAGUSA MIOYO YA WATOTO YATIMA, YATOA MSAADA KUELEKEA SIKUKUU YA IDD
-
Katika kuendeleza dhamira ya uwajibikaji kwa jamii, Shirika la Madini la
Taifa (STAMICO) limetembelea Kituo cha Watoto Yatima cha Umra Orphanage
jijini Dar...
7 hours ago
0 Comments