ARURA YAWATAKA WAKAZI WA MANISPAA YA MOROGORO KUACHA KUTUPA TAKA KWENYE
MIFEREJI
-
Farida Mangube, Morogoro.
Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa
Morogoro Mhandisi Emmanuel Ndyamukama ametoa wito kwa waka...
4 minutes ago
2 Comments
Hapa ni Shangani ya Baghani; hii nyumba ya upande wa kushoto (kwenye waya wa vyumba-vyumba) ni nyumbani kwa dokta Duchi na huko anapoelekea anayeendesha vespa, ukipinda upande wa kulia unaelekea kwa Adinani muuza mbatata.
ReplyDeleteHapo ni mji mkongwe :-)))))
ReplyDeleteMakame bin Mchambawima