Golikipa Mohammed Juma akipangua mikwaju ya Penalti katika Chalenji ya Mwaka 2009 dhidi ya Zambia. Mohammed alikuwa golikipa wa akiba ila katika masuala ya penalti ndie aliekuwa akitegemewa na pia unapobadilisha kipa unawajengea wachezaji wa timu pinzani mazingira ya kisaikolojia ya kuanza kuogopa hata kabla ya kupigwa penalti zenyewe. Kwanini mkakati huu haukutumika katika Chalenji ya mwaka huu na tuliendelea na Kipa yule yule?
Ali Mwadini akijitahidi bila ya mafanikio kuzuia mpira wa Penalti ya Waganda.


1 Comments
Vyote. Ni pande mbili za sarafu ile ile. Huwezi kuvitenganisha!
ReplyDelete