6/recent/ticker-posts

HATA NASI TUNAWEZA...

KAZI ya kuwatayarisha warembo  kama alivyokutwa kijana huyu akiwa maeneo ya Michezani makontena akimpaka rangi ya kucha mwanadada huyu mrembo azidi kupendeza zaidi.Wala hatuhitaji Saloon tuko mobile.

Post a Comment

0 Comments