HII ni moja ya Maskani katika kijiji cha Chokocho, Kisiwani Pemba inayoitwa Umoja wa Mataifa ikipeperusha bendera za Vyama mbalimbali katika maskani hiyo kukiwa na Bendera ya CCM, CUF, NRA , CHADEMA na kadhalika
Ni mfano mzuri kufikiriwa na maskani nyingi zilizopo kuonesha ukomavu wa kisiasa kama walivyotufundisha wanachokocho.
Serikali Yazindua Mtumiaji App Kuimarisha Mawasiliano na Kulinda Watumiaji
Nchini
-
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Agellah Jasmine Kairuki,
amezindua rasmi mfumo wa kidijitali wa kuhudumia watumiaji wa huduma za
mawasili...
2 hours ago
0 Comments