6/recent/ticker-posts

SHEREHE ZA MAPINDUZI KUTIMIZA MIAKA 47

 MABALOZI wanaowakilisha nchi zao Tanzania wakishiriki Sherehe za Mapinduzi Uwanja wa Amaan  wakiwa katika jukwaa la uwanja huo
 WASANII wa Kikundi cha Culture wakiimba nyimbo ya Mapinduzi  wakati wa sherehe za Mapinduzi Amaan
 VIONGOZI wa Serikali wakihudhuria sherehe za Mapinduzi kutimiza miaka 47.
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mama Fatma Karume
 WANANCHI wakihudhuria sherehe za Miaka 47 ya Mapinduzi Zanzinar,
 MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Awena Seif akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita Dk. Amani  Karume
  RAIS wa Tanzania Jakaya Kikwete akisalimiana na Mke wa Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Mama Fatma Karume katika maazimisho ya sherehe za Mapinduzi kutimia miaka 47
 Viongozi Wastaafu pamoja na Waliopo wakiwa katika sherehe za Mapinduzi kutoka kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu ya sita Aman Abeid Karume,  Rais mstaafu Mzee Rukhsa Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa kwanza wa Rais Seif Sharif Hamad, Mama wa kwanza Mama Mwanamwema Shein, Kamanda Mkuu wa vikosi vya Ulinzi Tanzania
 Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ukiingia Uwanja wa Amaan leo ukiambatana na Piki piki
 Wanajeshi wa vikosi vya Ulinzi wakiwa katika gwaride la ukakamavu wakati wa sherehe
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi  Dk Shein akikagua vikosi vya jeshi la ulinzi
 Viongozi wakipitia gazeti la Zanzibar Leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, Dk Shein akisalimiana na mjane wa Rais wa kwanza Zanzibar Mama Fatma Karume
 Kama kawaida yao mapaparazi walikuwepo kwa sana tu kukuletea mambo kama haya
 Kutoka kulia Mama Shadya Karume, Mama Zakia Bilali, Mwanasheria Mkuu Omar Makungu, Jaji Mkuu Hamid Mahmoud na Spika wa baraza la wawakilishi Pandu Ameir Kificho



Post a Comment

2 Comments

  1. Ahsante sana Mapara kwa kutuwekea picha hizi na sisi tuone!!! Peace

    ReplyDelete
  2. Mimi nauliza hawa cuf walikuwa hawatambui Mapinduzi,walikuwa wanasema kuwa waraabu waliuliwa kimakosa. sasa sasahivi wao wako mbele kusheherekea mauwaji. kwa hiyo tuwaelewe vipi kina maalim seif???

    ReplyDelete