MABALOZI wanaowakilisha nchi zao Tanzania wakishiriki Sherehe za Mapinduzi Uwanja wa Amaan wakiwa katika jukwaa la uwanja huo
WASANII wa Kikundi cha Culture wakiimba nyimbo ya Mapinduzi wakati wa sherehe za Mapinduzi AmaanVIONGOZI wa Serikali wakihudhuria sherehe za Mapinduzi kutimiza miaka 47.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mama Fatma Karume
WANANCHI wakihudhuria sherehe za Miaka 47 ya Mapinduzi Zanzinar,
MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Awena Seif akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita Dk. Amani Karume
RAIS wa Tanzania Jakaya Kikwete akisalimiana na Mke wa Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Mama Fatma Karume katika maazimisho ya sherehe za Mapinduzi kutimia miaka 47
Viongozi Wastaafu pamoja na Waliopo wakiwa katika sherehe za Mapinduzi kutoka kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu ya sita Aman Abeid Karume, Rais mstaafu Mzee Rukhsa Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa kwanza wa Rais Seif Sharif Hamad, Mama wa kwanza Mama Mwanamwema Shein, Kamanda Mkuu wa vikosi vya Ulinzi Tanzania
Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ukiingia Uwanja wa Amaan leo ukiambatana na Piki piki
Wanajeshi wa vikosi vya Ulinzi wakiwa katika gwaride la ukakamavu wakati wa sherehe
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk Shein akikagua vikosi vya jeshi la ulinzi
Viongozi wakipitia gazeti la Zanzibar Leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, Dk Shein akisalimiana na mjane wa Rais wa kwanza Zanzibar Mama Fatma Karume
Kama kawaida yao mapaparazi walikuwepo kwa sana tu kukuletea mambo kama haya
Kutoka kulia Mama Shadya Karume, Mama Zakia Bilali, Mwanasheria Mkuu Omar Makungu, Jaji Mkuu Hamid Mahmoud na Spika wa baraza la wawakilishi Pandu Ameir Kificho
2 Comments
Ahsante sana Mapara kwa kutuwekea picha hizi na sisi tuone!!! Peace
ReplyDeleteMimi nauliza hawa cuf walikuwa hawatambui Mapinduzi,walikuwa wanasema kuwa waraabu waliuliwa kimakosa. sasa sasahivi wao wako mbele kusheherekea mauwaji. kwa hiyo tuwaelewe vipi kina maalim seif???
ReplyDelete