HATA na sisi tunahitaji hifadhi na wanyama wakali ndivyo inavyoonekana wakiteta hawa kuku wakiwa katika hifadhi ya chandarua ili kujikinga na kunguru na Vipanga wasije kuwachukuwa vifaranga vyake wakiwa wamewahifadhi kwa namna hii. Sijui hiki chandarua ni cha kununua ua vile vya ...
MTI MMOJA, ENEO AMBALO SIMBA HULITUMIA KWA HONEYMOON KRETA YA NGORONGORO.
-
Unaweza kustaajabu lakini ukweli upo hivyo, ukitaka kuwaona simba wakiwa
katika harakati za kuongeza familia fika katika Kasoko ya Ngorongoro eneo
la mt...
1 hour ago
1 Comments
haaa, inawezekana cha kununua au cha msaada,lakini wajue tu vyandarua ni kwa ajili ya kujikinga na mbu,na kama cha msaada watoa msaada wakiona vyandarua vinatumika kwa mahitaji mengine sidhani kama watatoa misaada itakuwa ushafuja kwa wengine, kuku fanya maarifa mengine ya kuwaakinga na kunguru au vibaka.
ReplyDelete