6/recent/ticker-posts

WAWAKILISHI WAKITUWAKILISHA

 WAZIRI wa Mifungo na Uvuvi Said Ali Mbrouk Gando CUF)  na mjumbe wa baraza Rufai Said  (Tumbe CUF) wakiwa nje ya ukumbi wa baraza wakibadilishana mawazo baada kuhairishwa kikao cha asubuhi
 WAWAKILISHI wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa baraza linaloendele na kikao chake wakibadilishana mawazo  kushoto Fatma Abdalla Mbarouk (Amani CCM) na Abdallah Mohammed Ali (Mkoani CUF)

 WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakibadilishana mawazo baada ya kikao cha Asubuhi kuhairishwa wakiwa nje ya Ukumbi wa Baraza, kutoka kulia Mbarouk Mtando (Mkwajuni CCM) katikati Hamza Hassan (Kwamtipura CCM) Ali Salum (Kwahani CCM)

Post a Comment

0 Comments