Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,akisalimiana na Viongozi wa CCM wa Wilaya ya Mjini, wakati wa uzinduzi wa Tawila CCM Meya Juu jana,huko Meya wilaya ya Mjini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Tawila CCM Meya Juu jana,huko Meya wilaya ya Mjini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Tawila CCM Meya Juu jana,huko Meya wilaya ya Mjini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,akizungumza na na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa tawi la CCM Meya Juu wakati wa uzinduzi wa Tawi hilo jana
Picha na Ramadhan Othman Ikulu
Benki ya Absa yaendelea kuwawezesha wanawake wajasirimali kiuchumi
-
Meneja Bidhaa wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Bryton Kimemeta (kushoto),
akizungumza na baadhi ya wanawake wajasiriamali, wanachama wa Taasisi
inayotoa hud...
1 day ago
0 Comments