6/recent/ticker-posts

UZINDUZI WA MASKANI YA KACHORORA - RAHALEO

 MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar na Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita Dk. Amani Abeid karume akiondowa kipazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la Maskani ya CCM Kachorora Rahaleo ikiwa ni shamrashamra za kutimia miaka 34 ya CCM. ( Picha na Othman Maulid)


 WANACHAMA wa CCM wa Maskani ya Kachorora wakimsikiliza  Makamu Mwenyekiti wa CCM  Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume akiwahutubia baada ya kuwe jiwe la msingi la Maskani hiyo ya Kachorora Rahaleo ikiwa ni moja ya sherehe za miaka 34 ya CCM.(Picha na Othman Maulid)

 MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar vDk. Amani Abeid Karume akikabidhiwa  risala ya  ujenzi wa maskani ya kachorora na mmoja wa mwanachama  baada ya kuisoma ikiwa  ni shamrashamra za kutimia miaka 34 ya Chama cha Mapinduzi
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume akizugumza na Wazee wa  Jimbo la Rahaleo baada ya kumaliza kuwahutubia  wakati wa uzinduzi wa Maskani ya Kachorora ikiwa ni moja ya Shamrashamra ya kutimia miaka 34 ya  CCM 

Post a Comment

0 Comments