6/recent/ticker-posts

UJUMBE WA IJUMAA

"Ajabu ya jambo la Muumin kwamba kila jambo lake ni kheri.
Na halipatikani hili isipokuwa kwa Muumin,
Anapofikwa na jambo zuri hushukuru nayo ni kheri kwake na
anapofikwa na jambo lenye madhara husubiri nayo ni kheri kwake"
Hadithi ya Mtume Salla Allahu 'Alayhi Wasallam
Ijumaa Njema

Post a Comment

0 Comments