6/recent/ticker-posts

VIFAA VYA MISAADA KUTOKA SEATTLE WASHINGTON STATE MAREKANI KUJA ZANZIBAR





Kwa wazalendo wote napenda kuchukua nafasi hii adhimu mbele yenu kuufikisha ujumbe huu wa kheri kwenu. Vile vifa tulivyokuwa tukivizungumza hapo awali vilokusanywa kutoka kwa wafadhili mbali mbali waliojitolea kwa ajili ya kusaidia juhudi za maendeleo huko Zanzibar.

Ndio hivyo kama mnavyoviona katika picha, vimeshapakiwa katika behewa na Feb 6,2011 vitakuwa safarini kuelekea nchini Tanzania zanzibar ili kusaidia Elimu ya Zanzibar. Habari ndio hiyo na bado tuna hitaji michango yenu, kwa wale wote waliokuwepo njee ya nchi kama Canada, US, UK. NK kuna behewa yani kontena, kama hilo la meza, Computers, wheel chairs, roundtables, books shelves, books na kadhalika.

Michango yote inakaribishwa kwa wote kwa kiwango cha aina yoyote na kutumwa katika account zifuatavyo (1) NEWDAYAFRICA NON PROFIT ORGANIZATION 31217 ne 110 th St Carnation wa 98014 USA http://www.paypal.com/ tumia link hii kwa malipo ya paypal use name aminallybts161@live.com kwa kutoa mchango wako kupitia online au Andika cheque kwa jina Zanzibar library project Jumuia hii inafanya kazi pamoja katika kukusanya michango kama mfadhili wa vifaa vyetu vilivyopo.

(2) BANK OF AMERICA WA ACCOUNT NO 32000473 NAME AMIN IBRAHIM ALLY 13932 Ne 14 Th Street Apt 8 Bellevue Wa 98005 USA. Simu 01 425 943 -0074 Napia unaweza kutoa mchango wako kupitia West Union. Napenda kutanguliza shukrani nyingi na dhati kwa Raia wema wa Tanzania na Zanzibar katika kufanikisha michago yenu bila shaka kila mmoja ana dhamira kubwa katika kutoa mchango wake katika kusaidia huduma za kijamii na kuboresha hali ya maisha kwa vizazi vipya.

Tumia fursa hii kusaidia nchi yako wakati ndio huu ambapo Zanzibar inahitaji maendeleo makubwa kutoka kwa raia wake waliopo nje(Diaspora). Kama kuna ufafanuzi wowote unaohitajika unaweza kuwasiliana nami kwa Amin_ally@hotmail.com , Simu No 01 425 943 -0074. Ahsanteni sana. AMIN ALLY Washington State, Marekani, USA

This country will not be a good place for any of us to live in, unless we make it a good place for all of us to live in. its ,not whats your country can do to you but its you whats you can do to your country.

Tunakushukuru sana Ndugu Amin Ibrahim. Umefanya kazi nzuri inayolenga maneno hayo, M/mungu akuzidishie imani ya kupenda nchi yako pamoja na kufikiria sana kizazi kimpya, ndio uti wa mgongo wa taifa letu lijalo (New generation) kwa tanzania na zanzibar nzima. AMEEN.

Post a Comment

0 Comments