6/recent/ticker-posts

WATAHINIWA WA KIDATU CHA SITA WAANZA MITIHANI YAO TANZANIA NZIMA LEO

 WATAHINIWA wa kidatu cha sita katika skuli ya Kiponda wakiwa katika chumba wakijivinjari na somo la GS.  
 MSIMAMIZI wa Kituo cha Mitihani cha skuli ya Lumumba  kwa Wanafunzi wa  Kujitegemea akiangalia picha za kila mtahiniwa kama ndie mwenyewe anaestahili kufanya mtihani kuepusha kufanyiwa mitihani mtu asiye muhusika. 
WATAHINIWA wa Kujitegemea (Private candidates)  wakiwa chumba cha Mitihani katika Kituo cha Skuli ya Lumumba wakifanya mtihani wa GS.
 MSIMAMIZI wa Mtihani akiwasimamia Wanafunzi wa kidatu cha Sita wakiwa chumba cha Mtihani Skuli ya Sekondari ya Lumumba, ikiwa ni siku ya Mwanzo kuanza mitihani hiyo Tanzania nzima. 
WATAHINIWA wa Kidatu cha Sita wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba wakiwa chumba cha Mtihani wakijumuika na Wanafunzi wezao Tanzania wakifanya Mtihani wa Taifa wa somo la GS.

Post a Comment

0 Comments