MDAU mambo ya msosi wa mikate ya kizenj maarufu kwa jina la bofulo wazee wakijipatia kwa mlo wa Asubuhi, mkate mmoja huzwa shillingi 300/= katika maeneo ya darajani kama mwanablog alivyoinasa picha hii leo mchana.
Mradi wa CookFund unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutekelezwa na
UNCDF waleta Mageuzi ya matumizi ya Nishati katika taasisi za umma.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Zaidi ya wanafunzi 62,000 kote Tanzania sasa wananufaika na majiko salama
na safi zaidi kufuatia usakinishaji wa zaidi ya majiko...
7 hours ago
0 Comments