MAFUNDI wa Shirika la Bandari Zanzibar wakiujenga Ukuta wa Forodhani unaozuwia mawimbi ya bahari kupiga katika barabara hiyo, ukuta huo umebomolewa na Mawimbi ya bahari yaliyosababishwa na mzaruba uliovuma hivi karibuni na kuleta ajali hiyo.ya kuharibu ukuta huo.
Mradi wa CookFund unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutekelezwa na
UNCDF waleta Mageuzi ya matumizi ya Nishati katika taasisi za umma.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Zaidi ya wanafunzi 62,000 kote Tanzania sasa wananufaika na majiko salama
na safi zaidi kufuatia usakinishaji wa zaidi ya majiko...
5 hours ago
0 Comments