Zifuatazo ni nafasi za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, na waliopewa jukumu la kuziongoza:
Katibu Mkuu - Wilson Mukama
Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) - John Chiligati
Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) - Vuai Ali Vuai
Itikadi na Uenezi - Nape Nnauye
Organaizesheni ya NEC - Asha Abdallah Juma
Katibu wa Siasa na Mambo ya Nje - January Makamba
Katibu wa Fedha na Uchumi - Mwigulu Nchema
DC ILALA AMALIZA MGOMO WA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA NAMERA, GONGOLAMBOTO
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amefanikiwa kumaliza mgomo wa
wafanyakazi zaidi ya 1,500 wa Kiwanda cha NAMERA kilichopo Gongolamboto,
jij...
19 minutes ago
0 Comments