MSONGAMANO wa Magari katika eneo la barabara Benki ya NBC Shangani imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo inakuwa na msongamano mkubwa wakati wa upakizi wa magari katika bandari ya Forodhani na kusababisha usumbufu katika eneo hilo.
KAMATI YA BUNGE UWEKEZAJI MITAJI YA UMMA YARIDHISWA NA MRADI WA MAKAZI WA
CANADIAN MASAKI
-
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma
(PIC), Masanja Kadogosa, leo Machi 24, 2026 ameongoza ziara ya ukaguzi wa
mradi...
2 hours ago
0 Comments