6/recent/ticker-posts

MARUFUKU GARI ZAIDI YA TANI MBILI MJI MKONGWE.

BARABARA ya kwenda Shangani ikiwa na tangazo la kutoruhusu magari ya mizigo  yanayozidi tani mbili kuingia katika Mji Mkongwe kupitia barabara hii kama linavyosomeka bango hilo lililowekwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Mji Mkongwe Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments