6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 Kati ya New King na Polisi Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu Ya Zimamoto Imeshinda Mchezo Huo kwa Bao.2-0

Kocha wa Timu New King akitowa maelekezo kwa wachazaji wake katika pindi cha kwanza cha mchezo huo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 Zanzibar, wakati wa mchezo wao na Timu ya Zimamoto mchezo uliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0. 















 

Post a Comment

0 Comments