Mchezaji wa Timu ya Zenj Bulls akimpita mchezaji wa Timu ya Stone Town wakati wa mchezo wao wa Ligi Kanda ya Unguja uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar. katika mchezo huo Timu ya Stone Town imeshinda kwa vikapu 93-38. mchezo huo uliyofanyika leo 6-12-2025.
CHITALE AHUBIRI UMOJA MKUTANO MKUU WA WADAU MADALE GROUP
-
*Na John Bukuku – Dar es Salaam*
*Kaimu DAS wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Salumu Chitale, aliyemwakilisha Mkuu
wa Wilaya, ametumia Mkutano wa Umoja wa W...
2 hours ago
























0 Comments