6/recent/ticker-posts

Timu ya Muembemakumbi City Imeibuka Kidedea kwa Ushindi wa Bao 2-0 Dhidi ya Timu ya Malindi Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 Uliyofanyika Uwanja ma Mao Zedong

Mchezaji wa Timu ya Muembemakumbi City na Malindi wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 Zanzibar , mchezo uliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar, katika mchezo huo Timu ya Muembemakumbi City imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0. 
 









Post a Comment

0 Comments