6/recent/ticker-posts

KONGAMANO LA SHUGHULI ZA TAKWIMU LAFANYIKA ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Takwimu za Kijamii kutoka Ofisi a Mtakwimu Mkuu wa Seikali Fahima Mohamed Issa akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Kongamano la Shughuli za Kitakwimu lililofanyika katika Ukumbi wa Michenzani Mall Kisonge Zanzibar. 
Muakilishi kutoka Taasisi ya SAZANI TRUST ZAZNIBAR Safia Mkubwa Abdalla akizungumza kuhusiana na utumiaji wa Takwimu katika masuala ya kielimu kwa Wanafunzi katika Kongamano la Shughuli za Kitakwimu lililofanyika katika Ukumbi wa Michenzani Mall Kisonge Zanzibar.
Mkurugenzi Mipango na Utafiti Mahkama ya Zanzibar Mohamed Salum Mohamed akizungumza kuhusiana na Takwimu katika Mahkama katika Kongamano la Shughuli za Kitakwimu lililofanyika katika Ukumbi wa Michenzani Mall Kisonge Zanzibar.
Wakili wa Serikali (DPP)Huda Othman Khamis akizunguma katika Kongamano la Shughuli za Kitakwimu lililofanyika katika Ukumbi wa Michenzani Mall Kisonge Zanzibar.
Mkuu wa Divisheni ya Takwimu za Jinsia na Ajira Sabina Daima akijibu baadhi ya Maswali yalioulizwa katika Kongamano la Shughuli za Kitakwimu lililofanyika katika Ukumbi wa Michenzani Mall Kisonge Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji Ofisi ya Tamwa Zanzibar Mzuri Issa akitoa Mada kuhusiana na Takwimu katika Ufunguzi wa Kongamano la Shughuli za Kitakwimu lililofanyika katika Ukumbi wa Michenzani Mall Kisonge Zanzibar.

Mwenyekiti wa Angoza Mashauri Shehe Khamis akiuliza maswali katika Kongamano la Shughuli za Kitakwimu lililofanyika katika Ukumbi wa Michenzani Mall Kisonge Zanzibar.

Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa Kongamano la Shughuli za Kitakwimu lililofanyika katika Ukumbi wa Michenzani Mall Kisonge Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments