Mshambuliaji wa Timu ya Muembemakumbi City akiwapita mabeki wa Timu ya Mafunzo katika mcjezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026,mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Muembemakumbi City imeshiba bao 1-0.
Benki ya Stanbic yatoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia Kampeni ya Masta
wa Miamala
-
Benki ya Stanbic Tanzania imetoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia kampeni
inayoendelea ya Masta wa Miamala.
Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyoambatana ...
12 hours ago







0 Comments