Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani
nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08
Desemba, 2025. Pamoja na mambo mengine walijadiliana kuhusu ushirikiano wa
kiuchumi, siasa, kijamii pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo baina ya
Tanzania na Marekani. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa
Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma,
tarehe 08 Desemba, 2025.Picha na Ikulu..


0 Comments