6/recent/ticker-posts

Timu ya Polisi Imeibuka Kidedea Katika Mchezo wa Ligi ya Kikapu Kanda ya Unguja Kwa Kuifunga Timu ya Beit El Raas Kwa Vikapu 75-39 Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong

Mchezaji wa Timu ya Beit El Raaas akiwa na npira akijiandaa kumpita mchezaji wa Timu ya Polisi katika mchezo wa Ligi Kanda ya Unguja mchezo wa Kikapu uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong. Timu ya Polisi imeshinda mchezo huo kwa vikapu 75-39 .
Katika mchezo huo kota ya kwanza timu hizo zimeoneshana ufundi wa funga nikufunge kwa kufungana ka vikapu sawa 13-13,na kuoneshano ufundi wa ufungaji.
Dakika zikiyoyoma Timu ya Beit El  Raas ikiachwa nyuma kwa kufungwa  vikapu vingi  na kuzindiwa ufundi .













Post a Comment

0 Comments