BASI LA KINGS MASAI TOURS LAKAMATWA KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA
TANZANIA NA MSUMBUJI, MMILIKI AHOJIWA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata kilogamu
9,689.833 za dawa za kulevya, pikipiki 11 na magari mat...
5 hours ago
5 Comments
Asalam aleykum kaka mapara hapo ni kwa boni shangani zamani pia kwa pembeni ni ofisi ya wakina Abdi Mrope mtoto wa marehemu Ali mzee
ReplyDeleteTIP TIP HOUSE
ReplyDeleteJengo hilo liko hapo Shangani na mpaka sasa inaitwa Tipu Tip House. Jengo ina historia lakini kama halitashugulikiwa, basi intaondoka na maji.
ReplyDeleteNarendra Gajjar
Calgary
Canada.
Wenyeji wa Shangani utawajua tu. Inaonekana wako wengi ughaibuni. Haya mmepatia
ReplyDeleteHahahaa, haswa huyo Narendra Gajjar, mtoto wa shangani pyua huyo. Juzi juzi alikuja kututaka hali Daily News alikokuwa anafanya kazi miaka ya nyuma. picha nyingi za 'from our files' ni za kwake. Kwao nyuma ya benki ya NBC ya hapo Shangani. Nimefurahi karekebishia kuwa sio 'tip top' bali ni 'tipu tip' yule wa kwenye historia. Mapara hongera kwa kazi njema. Kaza buti. Wafadhili wameshaanza kukutupia jicho kaka
ReplyDelete