MOJA ya futari zinazopendwa katika visiwa vya Zanzibar maboga yakiwa katika soko la Mwanakwerekwe kwa ajili ya matumizi ya futari boga moja sokoni hapo linauzwa shilingi 1500/= na 3000/=
Mradi wa PACSMAC Wabainisha Suluhisho la Changamoto za Tabianchi kwenye zao
la Kahawa
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Serikali imejipanga kuwezesha upatikanaji wa maji kwa ajili ya kilimo cha
umwagiliaji katika zao la kahawa, kwa lengo la ku...
4 hours ago
0 Comments