6/recent/ticker-posts

USAFIRI WA BASKELI ZENJ NI MAARUFU

WANAFUNZI wakiwa wakipata lifti ya baskeli wakitoka skuli  wakikatisha mitaa ya Michezani, uchukuwaji wa abiria kama hivi unaweza kuleta madhara kwa watumiaji wa chombo hicho kimechukuwa kupita uwezo wake.  

Post a Comment

0 Comments