UTALII ukiongezeka kwa kasi katika Visiwa vya Zanzibar kama wanavyoonekana wakiwasili katika bandari ya Zanzibar wakitokea Dar - es - Salaam wakifanya taratibu za kuingia Zanzibar kupitia Idara ya Uhamiaji ya Zanzibar.
BoT YASHIRIKISHA WADAU MPANGO WA KUANZISHA KAMPUNI YA UDHAMINI WA MIKOPO
-
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikiongozwa na Naibu Gavana wa Sera za Uchumi
na Fedha, Dkt. Yamungu Kayandabila, imefanya kikao na wadau mbalimbali
kujadilian...
2 hours ago
0 Comments