KOFIA ni moja ya utamaduni wa Zanzibar na hutumika wakati wa harusi na katika kipindi hichi cha Mwezi wa Ramadhaan na huvaliwa na wakati mwengine, biashara hii hufanyika maeneo ya Darajani kwa Bakhressa kofia moja huuzwa shillingi 30,000/ mpaka 60,000/ inategemea na na ubora wa ushonaji wake wa mauwa. Kuna kofia ya lozi na kadhalika.
Watu 600 kushiriki semina ya AAT Moro
-
Na MWANDISHI WETU
ZAIDI ya washiriki 600 kutoka ndani na nje ya nchi wanataraji kushiriki
semina maalumu ya uendeleaji na upangaji wa miji inayo kua.
Semi...
Muziki : Rais Dkt Samia amkumbuka nguli Zahir Zorro
-
Na Mashaka Mhando
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
amemtumia salamu za faraja na mkono wa heri nguli wa muziki w...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments