WAFANYAKAZI Idara Uzaji wa Barabara Zanzibar wakiweka lami mpya katika barabara ya Lumumba baada ya kuondowa lami kongwe na kuweka mpya ili kuimarisha miundombinu ya barabara za Mjini Zanzibar.
KRETA YA EMPAKAAI (EMPAKAAI CRATER).
-
Kasoko ya Empakaai ni mojawapo ya Kasoko za volkano ndani ya Hifadhi ya
Ngorongoro, ikiwa na kingo za juu na ziwa zuri linalofunika zaidi ya
asilimia 75 ...
1 Comments
Hongereni kwa juhudi zenu lakini na mitaro msiisahau. Bara bara bila ya mitaro hukosa uimara kwa vile maji hukatiza na kubomoa!
ReplyDelete