WANANCHI wakiwa katika harakati za kulizima moto gari aina ya Suzuki Carry, ikiwaka moto katika mtaa wa Michezani kutoka na harakati za kiufundi wakati alipokuwa akirekebisha. hitilafu zilizojitokeza. Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika ajali hiyo jana.
DC Ilala Aagiza Polisi Kuwakamata Wauaji wa Salehe Iddi Salehe
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameliagiza Jeshi la Polisi Wilaya
ya Kipolisi Ilala, kupitia Kamanda wake ACP Yustino Mgonja, kuhakikisha
lina...
3 hours ago
0 Comments