6/recent/ticker-posts

KIKOSI CHA ZANZIBAR HEROES CHAWASILI ZANZIBAR KIKITOKEA NCHINI MISRI KWA MAZOEZI.

WACHEZAJI wa timu ya taifa ya soka Zanzibar 'The Zanzibar Heroes' wakiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa Zanzibar jana, kutokea Cairo, Misri, ambako walipiga kambi ya wiki mbili kujiandaa na mashindano ya Chalenji yanayotarajiwa kuanza Novemba 25 jijini Dar es Salaam. (Picha na Haroub Hussein).

Post a Comment

0 Comments