KITUO cha gari za abiria cha Soko Kuu la Chakechake Pemba ambacho kilikiwa na msongamano na Wafanyabiashara mbalimbali na kuwa kero kwa watumiaji wa kituo hicho, kwa sasa Baraza la Manispaa la mji wa Chake, imebidi kuwondoa wafanyabiashara na kuwa na hudumo moja tu ya kushusha abiria tu.
TUTATOA USHIRIKIANO KWA WIZARA-MNZAVA
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imeahidi kutoa
ushirikiano kwa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaz...
41 minutes ago
0 Comments