Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Mwenyekiti mstaafu wa Chama hicho Bwana Msobi Magene alipokwenda kumtembelea na kumjuilia hali nyumbani kwake Mwanza hivi karibuni.
Kwakweli, migogoro wakati mwengine inasaidia, si unaona, maalim anafanya ziara kila pembe ya nchi pamoja na kuwatembelea baadhi ya viongozi na wanachama wakongwe wa CUF.
Sasa kama wanayolalamikia wenzake ameyaona na kuyafanyia kazi, huo ndio uungwana, ugomvi tena uko wapi?..Akimaliza musobi amtembelee na yule mzee wa ndijani..khalass!
Muziki : Rais Dkt Samia amkumbuka nguli Zahir Zorro
-
Na Mashaka Mhando
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
amemtumia salamu za faraja na mkono wa heri nguli wa muziki w...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
1 Comments
Kwakweli, migogoro wakati mwengine inasaidia, si unaona, maalim anafanya ziara kila pembe ya nchi pamoja na kuwatembelea baadhi ya viongozi na wanachama wakongwe wa CUF.
ReplyDeleteSasa kama wanayolalamikia wenzake ameyaona na kuyafanyia kazi, huo ndio uungwana, ugomvi tena uko wapi?..Akimaliza musobi amtembelee na yule mzee wa ndijani..khalass!