Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume, mgeni rasmin katika mchezo wa Ufunguzi wa michuano ya Mapinduzi Cup, kati ya Yanga na Mafunzo timu ya Mafunzo ya Zanzibar imeshinda 1-0
Mfadhili wa timu ya Azam Omar Bakressa akifuatilia mchezo kati ya Yanga na Mafunzo.uliochezwa usiku jana.
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika mchezo wa Mapinduzi Cup,
1 Comments
Hii picha inaonesha kama 'Monsieur Jihad' anasinzia,..au ndio amechoka?
ReplyDelete