Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Moh'd Shein akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa ZRB leo baada ya ufunguzi wa jengo lao jipya lililopo mazizini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Moh'd Shein akihutubia baada ya ufunguzi wa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) liliopo Mazizini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Moh'd Shein akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Makungu wakati alipowasili katika ufunguzi wa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) liliopo Mazizini Unguja
Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) liliopo Mazizini Unguja lililofungulwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Moh'd Shein ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya kufikia Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Picha zoite na Hamad Hija, Maelezo
KATORO YAPOKEA GARI LA TANESCO KURAHISISHA USAMBAZAJI WA NGUZO.
-
Mapinduzi ya nishati ya umeme katika Jimbo la Katoro yameingia hatua mpya
leo, baada ya kupokelewa kwa gari maalum la Shirika la Umeme Tanzania
(TANESCO)...
2 minutes ago
0 Comments